Tuesday, 28 March 2017

Wanawake ni nomaa


 

wanawake watanunua mapochi
ya million mbili ili tu
kuringishiana wenyewe
kwa wenyewe kwa sababu 
sijawahi kusikia jamaa anasema ,

"Machizi yule demu ni mbayaaaa ila pochi lakeee ni noumaaaa"

Share this

0 Comment to "Wanawake ni nomaa"

Post a Comment