Mji wa Chongqing uliopo kusini-mashariki mwa China imeusogeza karibu na wakazi wake usafiri wa treni kwa reli kupita kwenye baadhi ya nyumba za kuishi watu pia kuna vituo ambavyo wakazi wa eneo hilo husubiri usafiri huo.
Mji huo pia unafahamika kama ‘Mountain City’ una wakazi wapatao 49 million, hivyo kuwafanya wasanifu majengo na maafisa wa mipango miji kubuni njia hiyo kurahisisha usafiri.
0 Comment to " Jionee Treni inayopita kwenye nyumba za watu kuchukua abiria China "
Post a Comment